Wazazi hao wamemtembelea mtoto wao shuleni na kupiga naye picha.
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kwanza wa producer Paul Matthysse aka P-Funk Majani aliyezaa na Kajala Masanja.
Kupitia Instagram, Kajala ameshare picha kadhaa zinamuonesha akiwa na Majani, binti yao Paula na Wema Sepetu.
Kajala amemwandikia ujumbe mtamu binti yake akisema:
HAPPY BIRTHDAY my darling, my heartbeat, da reasonto whythez always a smile abt…ur my right hand, my sweetheart, my number one, my beautiful daughter…..mummy loves u sooo much sweet angel….and I pray to God to keep u for a long long tym… u will live to blow a hundred candles my precious.
CHANZO: Vijimambo & bestizzo
CHANZO: Vijimambo & bestizzo
No comments:
Post a Comment