Hekaheka ni sehemu ya Leo Tena ya CloudsFM ambapo huwa inadili na kuripoti zile taarifa ambazo mara nyingi hazitolewi kama habari kwenye vyombo mbalimbali vya habari.
July 9 2013 Gea Habib ameripoti kuhusu kundi la vijana wa uswahilini Temeke ambalo huwamua tu kufanya sherehe na kelele nyingi sehemu yoyote, msikilize zaidi hapa chini…
CHANZO: Millard Ayo
No comments:
Post a Comment