Sunday, 14 July 2013

YANAYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MAMA YAKE PROF JAY

 Mwili wa marehemu ukingia nyumbani kwao mbezi ya kimara kwa ajili ya ibada na sura ya mwisho  na baada ya hapo kuzika ni saa 10 katika makaburi ya kinondoni.
                                     










Gari lililobeba mwili wa marehemu 
PICHA ZOTE NA HYPERMAN HK

Rainbow-tz blog inakupa pole prof J na familia yako.R.I.P mama Majanjara.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...