Sunday, 14 July 2013

PICHA ZA UBATIZO WA RYAN NA JAYDEN MENGI

Jayden na Ryan ni watoto mapacha wa Jackline Ntuyabaliwe na Reginald Mengi.Ubatizo wao ulifanyika huko nyumbani kwao Machame na kuhuduriwa na ndugu jamaa na marafiki wao wakaribu tu.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...