Saturday 7 September 2013

CD FEKI ZAKAMATWA KATIKA`` OPERESHENI SAFISHA CD FEKI``.

 Baadhi ya CD Feki zilizokamatwa katika Operesheni ya Safisha CD Feki.
 Moja ya kompyuta zinazotumika katika kudurufu kazi za wasanii.
Hivi ni vifaa vinavyotumika katika kudurufu kazi za wasanii.


 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha ‘CD Feki’ za wasanii mbalimbali zilizokamatwa katika operesheni maalumu ya ‘safisha CD feki kila kona’ ambapo wafanyabiashara 20 katika maeneo ya Kimara, Ubungo na Manzese jijini Dar es Salaam, zikiwa na thamani ya sh. milioni 18.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa watu 20 wanaojihusisha na uuzaji wa CD Feki za kazi za wasanii.Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...