Monday 7 October 2013

Happy Birthday President Jakaya Mrisho Kikwete



Tarehe kama ya leo mwaka 1950 alizaliwa Rais wa awamu ya nne Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Rainbow-tz inakutakia Afya Njema, Maisha marefu pamoja na Baraka nyingi kutoka mwa Mwenyezi Mungu akujalie Hekima zaidi uzidi kuiongoza nchi yetu kwa Amani  Upendo na utulivu.
HAPPY BIRTHDAY MR PRESIDENT!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...