Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard makungwa akimkabidhi Nahodha wa Mchezo wa gofu Tanzania, Akhil Yusufali mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 17.3 za udhamini wa mashindano ya gofu ya kumbukumbu ya Nyerere ‘NMB Nyerere Masters Golf Tournament’ katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam Jana. Mashindano hayo yatakayoshirikisha wachezaji 100 kutoka mikoa mbalimbali nchini yatafanyika kesho na kesho kutwa kwenye viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Chama cha Gofu Tanzania (TGU), Joseph Tango,
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa akielezea udhamini wa Benki ya NMB kwenye mashindano hayo.
CHAZO: Kapingaz
No comments:
Post a Comment