Waziri Mkuu , Mhe.Mizengo Pinda akiteta jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Wanawake Tanzania Bw.Mohamed Nyasama wakati wa Uzinduzi wa Tawi la Benki hiyo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda
amezindua Tawi jipya la Benki ya Wanawake Tanzania la MJASILIAMALI ,
Kariakoo. Tawi la Benki hiyo lipo katika Mtaa wa Aggrey Msimbazi
Kariakaoo, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na uzinduzi wa tawi hilo,
Mhe.Pinda amezindua huduma za Kibenki kwa kutumia Simu
( TWB Banking) . Picha zote na Asteria Muhozya, ( WMJJW)

Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akifungua Akaunti katika Tawi la Mjasiliamali Kariakoo la Benki ya Wanawake Tanzania mara baada ya uzinduzi |
Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akizindua Jiwe la Msingi la Tawi jipya la Mjasiliamali, Kariakoo la Benki ya Wanawake Tanzania
Waziri Mkuu, Mhe.Mizengo Pinda, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi la Benki ya Wanawake Tanzania la Mjasiliamali, Kariakoo. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki Bw.Mohamed Nyasama ,kushoto ni Waziri Sophia Simba |
Waziri Mkuu. Mhe. Mizengo Pinda akizindua huduma za Simu za Benki ya Wanawake Tanzania – TWB Banking |
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe.Sohpia Simba, akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe.Meck Sadiki wakati wa uzinduzi CHAZO: Kapingaz |
No comments:
Post a Comment