Friday 6 December 2013

NMB YADHAMINI MAONYESHO YA MBEYA EXPO

MKT
Waziri wa Uchukuzi ,Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe akitia sahihi kitabu cha wageni alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya Mbeya Expo yaliyofanyika katika viwanja vya Mkapa vilivyopo soko la Matola jijini Mbeya. Maonesho hayo yalidhaminiwa na Benki ya NMB.lucre1

Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za juu Kusini,  Lucresia Makiriye, akimwelezea Waziri  wa Uchukuzu, Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe   huduma na bidhaa zinazotolewa na  benki yaNMB  mara alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya Mbeya Expo yaliyodhaminiwa na benki ya NMB.
p7

Afisa wa benki ya NMB, Jacquiline Tumaini (tatukushoto) akimfungulia akaunti yaNMB ChapChap mteja aliyehudhuria maonesho ya Mbeya Expo katika viwanja vya Mkapa, vilivyopo sokola Matola jijini Mbeya. 

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...