Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na watoto baada ya ibada ya Krismasi iliyofanyika kijijini kwa Waziri Mkuu, Kibaoni wilayani Mlele, Katavi Desemba 25,2013. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee baada ya ibada ya Krismasi iliyofanyika kijijini kwake, Kibaoni wilayani Mlele, Katavi, Desemba 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment