Wednesday 1 January 2014

Basi la Taqwa toka Zimbabwe lapata ajali mbaya sana Mikumi




Kuna ajali mbaya sana imetokea kona ya Mikumi ikilihusisha basi la Taqwa.

Basi lililosaidia kubeba Majeruhi kupelekwa Mikumi hospital ni Princess Muro.


Basi lilikuwa ikijaribu ku overtake Lorry.

Ukiangalia vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hapo mbele.

Hadi sasa wamekufa watu watatu -wanawake 2 na mwanaume 1.

Abiria aliyekuwepo anasema dereva aliyesababisha ajali si dereva. Madereva wawili walikuwa pembeni aliekuwa anaendesha ni msimamizi wao.

CHANZO: JAMII FORUMS

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...