Sunday 5 January 2014

JE,NI HAKI WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI? Vibaka wapewa kipigo cha Mbwa mwizi hadi kufariki

Wasomaji wetu tunaomba radhi kwa picha zifuatazo
1557571_562004543891688_415853806_n
Wananchi wenye hasira kali Kiwalani wakitoa kipigo cha Mbwa Mwizi kwa Vijana wawili wanaosadikiwa kuwa ni vibaka, wanaosumbua mitaani kwa kuiba na kukwapua, Vibaka hao wanajiita watoto wa Mbwa jumla ya idadi yao ni 40 ambapo mpaka sasa Vibaka 6 wameshauliwa na wananchi wa Kiwalani.
Hadi mdau wa habari hizi anaondoka eneo la tukio aliwaacha vijana hao wameshaaga dunia kufuatia kipindo kikali kilichoambatana na Mawe, matofali, mashoka, Nondo na vifaa vingine vyenye ncha kali.
1526639_562001980558611_1882455163_n
 Vibaka hao wakiwa wanachuruzika damu kutokana na kipigo kikali.


1536683_562002240558585_1659833267_n
Wakazi wa Kiwalini wakubwa kwa wadogo wakiwa wamefurika eneo la tukio. (Picha shukrani kwa Mdau Vasmo Onesmo).

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...