King Majuto katika filamu mpya ya Gumzo inayotarajiwa kutoka mwezi huu wa pili amefanya Hip Hop kama anavyoonekana pichani. Filamu hiyo imeandaliwa na Salma Jabu Nisha na masataa wengine ndani ya filamu hiyo ni Hemed, Wastara na muigizaji mpya anayeitwa Tausi. Je Gumzo itakuwa gumzo kweli?
CHANZO: Swahili world planet |
No comments:
Post a Comment