Jijini Dar nimezunguka sehemu nyingi ikiwemo Kigamboni. Siku niliyokwenda Kigamboni vivuko vilivyokuwa kazini ni Mv. Magogoni na Mv.Lami. Abiria walikuwa wengi mno.
Mv Lami ikivusha watu na magari kutoka Kigamboni.
Picha zote na Anna Nindi,Dar es salaam
No comments:
Post a Comment