Sunday, 26 October 2014
THE LIVING ROOM: JINSI UNAVYOWEZA KUBORESHA MWONEKANO WA SEBULENI KWAKO
Unaweza kuboresha zaidi mwonekano wa sebuleni kwako kwa mapambo ya aina mbalimbali.Leo tunaongelea "curio".Curio ni kabati ambazo zimetengenezwa kwa kioo kwa sehemu kubwa.Kabati hizi hutumika kuweka mapambo mbalimbali au vyombo mfano glasi za mvinyo. Vitu hivi au mapambo huwekwa kwa kiasi ili kuleta mwonekano mzuri.




Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...

-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment