Wednesday 25 March 2015

BAADHI YA MIJENGO YA WASANII WA TANZANIA


Mjengo wa Prof Jay




Mjengo wa Masanja Mkandamizaji

image-13-06-14-08-07-3
Mjengo wa Nay wa Mitego

Mjengo wa Diamond Platnumz.Kwasasa umekamilika


Mjengo wa msanii wa Bongo flava, Madee

Mjengo wa Shilole ambao haujakamilika




Mjengo wa Jux ambao haujakamilika

Mjengo wa mheshimiwa Temba
Hizi ni nyumba za baadhi wa wasanii kwani wapo wengine ambao wanamiliki nyumba au wapo katika ujenzi.Tunawapa hongera wote na wengine wajifunze kutoka kwenu kwani sanaa ina mwisho.

Picha kwa hisaniya: Millardayo, GPL, choice

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...