Friday, 27 March 2015

NIMEZIPENDA HIZI LONG HIGH WAISTED AFRICAN PRINT SKIRTS



Kinachofanya mtu apendeze na hizi sketi ndefu za african print ni mchanganyiko wa rangi na jinsi mvaaji atakavyopangilia rangi hizo,basi.Mishono yake huwa ni rahisi ILA mpangilio wa rangi huzingatiwa.


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...