Thursday 23 May 2013

NMB YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA TANGA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda (wa tatu kulia) akipewa maelezo juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na benki ya NMB kutoka  kwa Meneja wa NMB Tawi la Madaraka,  Juma Mpimbi (kushoto) wakati alipotembelea kwenye banda la NMB kwenye ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda akisalimiana na Ofisa wa benki ya NMB tawi la Madaraka, Elvis Shao alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga. Wanaoshuhudia ni   Mkuu wa Mkoa wa Tanga,  Mhe.  Chiku Gallawa (pili kulia) na Meneja wa NMB Tawi la Madaraka,  Juma Mpimbi.
Maofisa wa benki ya NMB Tawi la Madaraka wakiwa katika banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara yaliyozinduliwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda mkoani Tanga

CHANZO: Sufiani mafoto

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...