Feza Kessy. |
Ammy Nando |
Wawakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa 2013 ni Feza Kessy na Ammy Nando. Feza Kessy ni Mwanamuziki na Mwanamitindo aliyewahi kuwa Dar City Center ambaye ni mwenyeji wa Arusha. Feza mwenye umri wa miaka 25 ana elimu ya Cheti katika Teknolojia ya Habari (IT).
Ammy Nando ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ambaye alikuwa akiishi jijini Los Angeles, nchini Marekani. Ni mwanamitindo anayefanya kazi chini ya kampuni ya Model Mayhem.
No comments:
Post a Comment