“Unadjuanga vile si tunafanya,kitu murua kutoka kwa bamutu ya congo. Kitu mupya kabisa watu ya Tanzania hapana ona, inakuja bakae mkao wa kula”. Huyo ni mhamiaji haramu Mboto akielezea kuhusu fiilamu yake mpya inatwa Bamutu ya Congo. Mboto anaigiza kama mhamiaji haramu kutoka Congo na kuja kishi Dar. Ndani yake humo kuna vituko vingi sana ikiwemo kuwakwepa watu wa uhamiaji na vituko vingine na mke wake ambaye ni Anita wa Kidedea.
Bongomovie zinapendwa sana nchini Congo kitu ambacho kinaonyesha kama hii movie itafanya vizuri kwenye mauzo huko Congo kwasababu ya kuwa na contentinayowahusu, other side ni kitu kingine kipya kutoka kwa Mboto na tutegemee kucheka to the maximum kwasababu anavyojulikana Mboto na maudhui ya movie hii basi lazima ataua sana.
No comments:
Post a Comment