C Pwa amekiri kuwa wimbo wa ACTION alimshirikisha Ngwair ndiyo ulimfikisha katika kilele cha mziki dunia nzima na Afrika Mashariki .Wimbo huo ulimpa tuzo 2 za Kilimanjaro Music Awards.Angalia CPwa alipokuwa akieleza hayo.
Sikiliza wimbo wenyewe:
Sikiliza wimbo wenyewe:
No comments:
Post a Comment