Showing posts with label BREAKING NEWS. Show all posts
Showing posts with label BREAKING NEWS. Show all posts

Friday, 10 October 2014

CONGRATULATIONS MALALA FOR WINNING NOBEL PEACE PRIZE 2014!


Kailash Satyarth och Malala Yousefzai
Kailash Satyarthi                                                           Malala Yousafzai

The Nobel Peace Prize 2014 was awarded jointly to Kailash Satyarthi and Malala Yousafzai "for their struggle against the suppression of children and young people and for the right of all children to education".
Source: nobelprize.org

Thursday, 25 September 2014

BREAKING NEWS: TWO BOMB ALERTS AT STOCKHOLM BANKS

Two bomb alerts at Stockholm banks

UPDATED: Police in Stockholm say a currency kiosk in the Swedish capital has been robbed and that there was an attempted theft at another, with "ticking packages" left in each location.

Police have confirmed that an exchange bureau in Gullmarsplan in southern Stockholm was robbed on Thursday morning, while there was a failed robbery attempt near Slussen, close to the city centre.
 
Witnesses reported seeing masked men fleeing from both locations at around 10am.
 
In Gullmarsplan, one of the suspects had a "pistol-like object in his hand," according to a passerby who spoke to Swedish newspaper Dagens Nyheter.

Wednesday, 22 January 2014

HOSPITALI ZA KIMATAIFA ZA INDIA KUJENGWA NCHINI

Anuradha Sharma

Ujumbe  wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana, pamoja na mambo mengine umeanza mchakato wa kuwekeza katika sekta ya afya nchini.

Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa hospitali hizo anayehusika na uhusiano wa kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.

Sunday, 19 January 2014

BREAKING NEWS: RAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI- JAN 19, 2014




UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
______________________________ ________________


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:-
1. OFISI YA RAIS

Hakuna mabadiliko.
2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

2.1 Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko
Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)
Waziri wa Nchi (Mazingira).Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)
Naibu Waziri 

Monday, 30 December 2013

BREAKING NEWS: RAIS JAKAYA KIKWETE AMTEUA KAMANDA ERNEST MANGU KUWA MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI TANZANIA


Mkuu mpya wa jeshi la polisi Tanzania,Kamanda Ernest Mangu pichani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amemteua kamanda Ernest Mangu kuwa mkuu mpya wa jeshi la polisi Tanzania. Kamanda Mangu anachukua nafasi ya Inspekta jenerali Said Mwema ambaye anastaafu. 
Uteuzi wa kamanda Mangu unaanzia januari 1 2014.
CHANZO: ITV

Thursday, 5 December 2013

BREAKING NEWS: NELSON MANDELA (MADIBA) AFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 95

Nelson Mandela, the prisoner-turned-president who reconciled South Africa after the end of apartheid, died on Thursday, December 5, according to the country's president, Jacob Zuma. Mandela was 95.

Rais wa zamani wa Afrika ya kusini mzee Nelson Mandela amefariki  tarehe 5.Vyombo vya habari vikubwa duniani kama CNN,Sky news, bbc, Aljazeera vimekuwa vikionyesha taarifa hii. Tutaendelea kuwaletea habari mbalimbali za msiba wa shujaa huyu  wa Afrika na dunia pia.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI,AMEN.

ANGALIA RAIS JACOB ZUMA AKITANGAZA JUU YA MSIBA HUU MKUBWA SI TU KWA NCHI YAKE BALI KWA DUNIA NZIMA

Tuesday, 12 November 2013

DK MVUNGI AFARIKI DUNIA

Marehemu Dk. Sengondo Mvungi  enzi za uhai wake.
Marehemu Dk. Sengondo Mvungi alipokuwa ICU katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Habari za kusikitisha zilizotufikia jioni hii zinasema kuwa Dk. Sengondo Mvungi amefariki dunia katika Hospitali ya Milpark Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Dk. Mvungi alipelekwa wiki iliyopita Nov. 7 mwaka huu kwa ajili ya kupewa matibabu zaidi akitokea Hospitali ya Muhimbili kitengo cha MOI ambako muda wote alikuwa hajitambui baada ya kushambuliwa na majambazi na kuumizwa vibaya sehemu ya kichwani akiwa nyumbani kwake Kibamba. Wakati Dk. Mvungi anafariki, jana Jeshi la Polisi, kupitia  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, lilitangaza kuwakamata watuhumiwa 9 wakiwa na mapanga yaliyotumika katika uvamizi huo.
Mpaka mauti yanamfika, Dk. Mvungi alikuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini na Mhadhiri Mwandamzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Bagamayo (UB).
Marehemu aliwahi kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI - AMEN!
CHANZO: GPL

Sunday, 20 October 2013

JULIUS NYAISANGAH 'UNCLE J' AFARIKI DUNIA

Julius Nyaisangah 'Uncle J' enzi za uhai wake.

Marehemu Julius Nyaisangah (katikati) akiwa katika pozi na Meneja Mkuu wa Global Publishers Abdallah Mrisho (kushoto) na Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Uwazi Elvan Stambul (kulia) walipokuwa katika semina ya wanahabari Bagamoyo mwaka 2011.
HABARI zilizotufikia kutoka mkoani Morogoro ni kwamba Mtangazaji Mkongwe nchini, Julius Nyaisangah 'Uncle J' ameaga dunia. Mpaka mauti yanamfika, Marehemu Nyaisangah alikuwa Mhariri Mtendaji wa Abood Media iliyopo mkoani Morogoro. Marehemu aliwahi pia kufanya kazi katika kituo cha Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na katika Kituo cha Redio One ambapo alikuwa Mkurugenzi. Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika japo marehemu alikuwa akiugua kwa muda mrefu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!  Taarifa zaidi zitawajia baadaye.
CHANZO: GPL

Saturday, 21 September 2013

BREAKING NEWS: AL SHABAAB: ''KENYA ILIPUUZA ONYA LETU''

Duka la kifahari lililoshambuliwa la Westgate katika mtaa wa Westlands Nairobi
Afisaa mmoja mkuu wa kundi la kigaidi la Alshabaab, amefahamisha BBC kuwa kundi hilo ndilo limehusika na shambulizi dhidi ya duka la kifahari la Westage mjini Nairobi Kenya.
Kwa mujibu wa Afisaa huyo mashambulizi hayo yalikuwa ya kulipiza kisasi kwa Kenya kwa kujihusisha na vita vya Somalia ambako wanajeshi wake wanakabiliana na kundi hilo.
Wanajeshi wa Kenya wamekuwa nchini humo tangu mwaka 2011 kama sehemu ya juhudi za muungano wa Afrika kutaka kurejesha uthabiti nchini Somalia.
Afisaa mkuu wa mambo ya ndani Kenya amesema idadi ya waliofariki ni kumi na moja lakini shirika la msalaba mwekundu linasema idadi hiyo imefika watu 30 huku zaidi ya hamsini wakijeruhiwa.
Taarifa kutoka Ikulu ya Rais Kenya zinasema kuwa mshukiwa mmoja aliyekamatwa alifariki kutokana na majeraha yake.

Monday, 16 September 2013

BREAKING NEWS: FOUR PEOPLE KILLED AT US NAVY YARD IN WASHINGTON


BBC news coverage of a shooting at a US naval yard


At least four people have been killed in a mass shooting at the Washington Navy Yard, a naval installation in the US capital, a Navy official has said.
Police entered an office building in search of a gunman, after shots were fired at 08:20 local time (13:20 GMT), the US Navy said.
Local news agencies have said a police officer was among the injured. It remains unclear how many were hurt.
Personnel at the yard were ordered to "shelter in place", the Navy said.
Capt Ed Buclatin, director of public affairs at the Navy Installations Command at the Navy Yard, said on Twitter that four people were killed and eight injured.

Thursday, 29 August 2013

BREAKING NEWZZZ!! MAJAMBAZI WAVAMIA NA KUPORA KATIKA BENKI KARIAKOO!!


Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib African Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha. Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 CHANZO: ITV

BREAKING NEWZZZ!!! ASKOFU AFARIKI DUNIA!!





Askofu mkuu wa eagt Dr. Moses Kulola afariki dunia leo hii.
CHANZO: JF

Wednesday, 7 August 2013

BREAKING NEWSSS........! UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA WAWAKA MOTO HUKO NAIROBI








Reports are coming in through the Kenya Red Cross, the country’s foremost emergency response organization, that a major fire is raging at Jomo Kenyatta International Airport. Courtesy of twitter picture via this tweet: ‘FIRE reported at Jomo Kenyatta International Airport #Nairobi via#iVolunteer @decibyte ^PO’ this is the first available image of the raging inferno, which seems to have fully engulfed one of the main buildings.






Stand by for more reports and updates in due course.

The latest update at 06.17 hrs speaks of the main arrival building, at least the upper floors, being completely engulfed in a major fire and the arrival hall and immigration area has been cleared of passengers while those outside the main arrival hall, beyond customs check points, too has been cleared of people and cars normally waiting there. Parked cars should be removed to make way for fire brigade units coming from the city too.

Monday, 22 July 2013

DUCHESS OF CAMBRIDGE KATE MIDDLETON AJIFUNGUA

Royal baby
Duchess of Cambridge, Kate Middleton, amejifungua mtoto wa kiume mwenye uzito wa  8lbs 6oz saa 10.24 kwa saa za Uingereza.

Notice of birth Buckingham Palace
Huu ndiyo ujumbe rasmi uliobandikwa nje ya kasri la kifalme la  Buckingham kuutarifu umma kuhusu mtoto aliyezaliwa,jinsia yake na muda aliozaliwa.

Stay tuned kwa habari zaidi

Thursday, 30 May 2013

BREAKING NEWS:BUNGE LASITISHWA KISA HOTUBA YA MH:WENJE.




Katika hali isiyo ya kawaida leo hii mapema Bungeni Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani imesitishwa baada ya hotuba hiyo kuwataja chama cha CUF kwamba wanamahusiano na chama kinachosapoti Usagaji pamoja na Ushoga hivo nao kuwahusisha katika mambo hayo.

CHANZO: King Jofa




PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...