Showing posts with label KALI YA SIKU. Show all posts
Showing posts with label KALI YA SIKU. Show all posts

Saturday, 11 June 2016

KALI YA SIKU

Pale muosha anapooshwa!
Au pale aliyeuza chain ya bandia anapopewa pesa ya bandia!
Hahaha

Tuesday, 12 May 2015

KALI YA SIKU!

Mwalimu wa shule ya msingi nchini Ghana akiwa mitaani kuuza matikiti maji wakati wa mapumziko ya mwishoni wa wiki.Ona jinsi anavyoijali kazi yake,kwani amevaa suti safi na matikiti maji yake ameyaweka kwa kuzingatia usafi zaidi.Mwalimu ameona fursa na ameamua kuitumia.
Hongera zake maana si wote wanaweza hii.
Hii picha ina mafunzo mengi sana ndani yake,anaye elewa na aelewe!

Saturday, 25 April 2015

KALI YA LEO!


Hivi utajisikiaje unapokuwa umepewa lifti kwenye gari halafu mmefika kwenye taa za barabarani na kukuta taa ya kijani inawaka. Mwenye gari ambaye ni dereva anakuuliza wewe ambaye ni abiria, “hivi taa ya kijani inamaanisha nini”?

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...