Showing posts with label SANAA. Show all posts
Showing posts with label SANAA. Show all posts

Friday, 22 May 2015

MWIGIZAJI WA BONGO MOVIE AUNTY EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE



Kwenye akaunti yake ya instagram aunty ameandika hivi:
Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena Ahsante kwa zawadi hii kubwa ktk Maisha kwani ilikuwa ni kipindi kigumu chenye majaribu ya kila aina kupitia binaadamu wajizaniao wao ni miungu watu Bac endelea kunyoosha mkono wako ktk paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Amen Whn Jesus Say Yes Ni body can Say wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da world KIBOKO.


HONGERA SANA AUNTY KWA KUPATA BABY GIRL.

Wednesday, 10 September 2014

PHOTOS: ACTRESS LUCY KOMBA'S WEDDING



Last Saturday popular Tanzanian actress Lucy Komba wedded her long time lover who is from Denmark. Fellow celebrities including Thea, Frank Mohamed Mwikongi, Wastara, Davina and more were there to support Lucy. 

Monday, 19 May 2014

MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAAGWA BUNJU B, DAR

Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii.
Waombolezaji wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.

Saturday, 17 May 2014

ROSE NDAUKA ATWAA TUZO YA BEST ACTRESS 2013/2014 ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL


Rose Ndauka
Star mwenye jina kubwa na kipaji cha kuigiza Rose Ndauka ameshinda tuzo ya muigizaji bora wa kike 2013-14(Best actress of the year 2013-2014) kutoka Zanzibar International Film Festival 2014 ambalo ni tamasha la filamu la kimataifa linalojumuisha watengeza filamu na wasanii mbalimbali kutoka nchi mbalimbali. Rose ameshinda tuzo hiyo kutoka kwenye category ya muigizaji bora wa filamu za Tanzania kupitia filamu ya Waiting Soul ambayo alicheza na star mwenzake Mohamed Mwikongi "Frank" . Jamila Jailawi na Yasinta Enrendry.

ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

http://api.ning.com/files/ul6fByF3mQflPAkDymTC6l7oSIe5Z-7ttjPkRqMZ5Ap7e*eCA8BS7VPT0qilab3hk2YvlMI2178ZBXtAi7ag1PSLIQkl*wIU/Kuambiana1.jpgAdam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

Wednesday, 14 May 2014

JB,IRENE UWOYA,MZEE MAJUTO NA RAY KWENDA UTURUKI KIKAZI

Wasanii wa filamu Jacob Stephan aka JB ,King Mjuto, Vicent Kigosi aka Ray na mwanadada Irene Uwoya wanatarajia kuondoka usiku wa kuamkia Jumatano hii kwenda Uturuki kujifunza utamaduni za nchi hiyo pamoja na kukutana na waigizaji wakubwa wa nchi hiyo.

Uongozi wa Uturuki pamoja na wasanii wa filamu
Uongozi wa Princess Casino pamoja na wasanii wa filamu
Wasanii hao ambao amepata udhamini Princess International Casino wamesema safari hiyo ya wiki moja wataitumia kwenda kujifunza mambo mbalimbali yatayowasidia kukuza sanaa yao. Akizungumza na waandishi wa habari akiwa Princess Casino ndani ya IT Plaza Jijini Dar es salaa, mmoja kati ya wasanii hao,Jacob Stephan amesema kuwa wameahidiwa na Princess International Casino kwenda kukutana na watu muhimu kwenye tasinia yao.
“Princess Casino wametuahidi kule tutakutana na watu muhimu sana kwenye shughuli ambayo tunafanya,kwangu mimi naiita hii ni fursa kwasababu ni vitu ambavyo tulikuwa tunaomba,” alisema.  

Thursday, 17 April 2014

MSANII DAVIDO NA MUIGIZAJI GENEVIEVE NNAJI KUTOKA NIGERIA WAZINADI SIMU ZAO AINA YA IPHONE 5 24K DIAMOND GOLD-PLATED

Wasanii Davido na Genevieve Nnaji kutoka Nigeria katika muda tofauti  walizinadi simu zao aina ya iphone 5 24k diamond gold-plated katika mitandao ya kijamii.
photo
24k diamond gold-plated iPhone 5 ya muigizaji Genevieve Nnaji kutoka Nigeria
photo
Genevieve Nnaji

Friday, 28 February 2014

STEVE NYERERE AMWAGIA SIFA LULU

Stori: Mayasa Mariwata
RAIS wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemmwagia sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akipiga stori na Ijumaa Steve alisema kuwa, mbali na umakini katika kazi zake za kisanii, sasa hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi kwamba ni nadra sana kumkuta na skendo za kijingajinga.

Saturday, 8 February 2014

ROSE NDAUKA AMUWEKA HADHARANI MTOTO WAKE.


Rose Ndauka
Star wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amemuweka hadharani mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni na kumpa jina la Naveen yeye na baba mtoto wake Malick Bandawe(Chiwaman). Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Rose aliweka picha ta mwanae jioni hii na kuandika "nachukua nafasi hii kuwashukuru wote mlioweza kuwa na mimi na mpaka sasa tumepata mtoto wetu anayeitwa naveen na leo ikiwa tunasogelea arubaini yake tarehe 9/02/2014 basi nawaomba dua zenu na hii ndio zawadi niliopata kwa mungu nashkuru sana kwa zawadi hii shukran mama yangu mzazi na malick kwa zawadi hii... nawapenda sana"

Sunday, 19 January 2014

USAFIRI MPYA WA LADY JAYDEE



"My new ride. God I thank you".Hiki ndicho alichoandika msanii Jide katika ukurasa wake wa facebook.Hongera Jide kwa jitihada zako kwani unafurahia matunda ya jasho lako. Hakuna kitu kizuri kama kula matunda yatokanayo na jasho lako.Endelea kutuburudisha na sisi tutaendelea kukuunga mkono.

Sunday, 5 January 2014

Chama cha Wasanii wa Filamu a.k.a Bongo Muvi chapata viongozi wapya,Steve Nyerere aibuka Mwenyekiti.

Pichani ni Uongozi wa juu wa  Chama cha Wasanii wa Filamu hapa nchini.a.k.a Bongo Muvi,kulia ni Katibu Mkuu,William Mtitu,Mwenyekiti,Steven Mengere a.k.a SteveNyerere,Katibu Msaidizi Bi.Devotha Mbaga,Mweka hazina Mkuu, Issa Mussa Cloud pamoja na Makamu Mwenyekiti ,Mahsein Awadh maarufu kama Dk Cheni wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuchaguliwa hapo jana na wadau mbalimbali wa tasnia hiyo waliokutana kwenye viwanja vya Lidaz club,jijini Dar.
Pichani ni Mwenyekiti wa chama cha Wasanii wa Filamu nchini a.k.a Bongo Muvi, Steve Mengele ‘Nyerere’ akizungumza mara baada ya kuchagulia kushika wadhifa huo wa uenyekiti.

Monday, 30 December 2013

TOP 12 HOTTEST TANZANIAN ACTORS IN 2013

1. TINO
This year this vesertile actor performed well in movies like Mimi Na Mungu wangu and Kisate. Tino is one of great actors in our industry.


2. HASHIM KAMBI
Kambi appears mainly in supporting roles although sometimes he plays lead characters, and in those movies with strong supporting roles heroes and heroine get hard times from King Kambi in terms of performances. This year the actor crossed borders and starred in a Ghananian movie "Day After Death" with Van Vicker and John Dumelo. He will be seen again with Van Vicker in a Tanzanian movie in 2014. This year King Kambi looked fresh in movies like Fisadais, Foolish Age, Boss Tony. In short Kambi is one of Tanzanian actors who can essay Hollywood roles.


Sunday, 29 December 2013

WASTARA NA WAIGIZAJI WENGINE WA FILAMU WAMSOMEA DUA MAREHEMU SAJUKI

Msanii wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.
Mzee Chiro akiwa na Wastara.
Mzee Chilo akiwa na Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo(jana), dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuhika.
Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.

Wednesday, 25 December 2013

ELIZABETH GUPTA NA MUMEWE PAM (MSHINDI BBA4) WAFUNGUA MGAHAWA NIGERIA UITWAO‘GUPSY´S DELIGHT

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa msimu wa 4 (Revolution) Elizabeth Gupta na mumewe Kevin Chuwang Pam (mshindi wa BBA4) wamefungua mgahawa wao nchini Nigeria.
KevinandElizabethfam_5
Mgahawa huo uitwao ‘Gupsy’s Delight’ upo jijini Lagos, Nigeria ambako Liz na Pam wanaishi. Kupitia Instagram, Gupta ameonesha picha za mgahawa huo.
067033966bd811e3b7d2127ea6e65569_8

TOP 12 HOTTEST TANZANIAN ACTRESSES IN 2013.


1.RIYAMA ALLY.
Riyama can act and has many fans. The actress had many releases this year and she looked fresh in movies like Nimekuchoka, King'amuzi, Nipe Ripoti, My Enemy, Magata, Kovu La Siri.

2. KEMMY
Julieth Samson famously known as Kemmy is one of the great actresses in the industry. She acts in few movies both in lead and supporting roles. She was outstanding in Nguvu Ya Iman, she looked good too in I Can't Believe.

3.MARIAM ISMAIL
Ismail has natural acting contrary to some other actresses who try too hard. We loved her performances in Omega Confusion, The Return Of Omega, Apple.

Saturday, 14 December 2013

MWANAMUZIKI MAARUFU HAPA NCHINI ''LADY JAYDEE'' AUGUA GHAFLA....ALAZWA HOSPITALI YA PRIMIER



Mwanamuziki mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ hivi karibuni aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake Kimara-Temboni, Dar na kukimbizwa katika Hospitali ya Primier Care iliyopo karibu na nyumbani kwake.

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...