Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Saturday, 12 September 2015
Saturday, 6 June 2015
NI SERENA WILLIAMS TENA!ASHINDA MASHINDANO YA TENNIS YA WAZI YA .ROLAND GARROS
Serena wWilliam alimshinda mpinzani wake Lucie Safarova kwa 6-3, 5-7, 6-2 katika fainali za mashindano ya tenisi ya Ufaransa, maarufu kama Roland Garros.

Bonyeza read more kwa picha zaidi
Bonyeza read more kwa picha zaidi
Monday, 12 May 2014
MAN CITY NI MABINGWA 2014
Manchester City ni mabingwa Uingereza
Manchester City ndio mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu.
Vijana wa Manuel Pelligrini walitawazwa mabingwa katika siku ya mwisho ya ligi kuu ya Uingereza baada ya kuilaza West Ham mabao 2-0.
Tuesday, 22 April 2014
BREAKING NEWS: MOYES SACKED AS MANCHESTER UNITED MANAGER
The manager learned his fate at the club's training ground this morning with United legend Ryan Giggs taking over temporarily.
SOURCE: Sky News
Monday, 31 March 2014
TENNIS: DJOKOVIC SEIZES FOURTH SONY OPEN TITLE
Novak Djokovic celebrates with the Butch Buchholz Championship Trophy after winning the men's singles final of the Sony Open at Crandon Tennis Center over Rafael Nadal. Djokovic won 6-3, 6-3 to claim his fourth Miami title and second straight. Geoff Burke-USA TODAY Sports / Reuters
SERENA WILLIAMS BEATS LI NA FOR SONY OPEN TITLE
Serena Williams won a record seventh Key Biscayne title Saturday when she overcame a slow start and a set point to beat Li Na 7-5, 6-1 at the Sony Open.
Williams surpassed the tournament record of six titles she shared with Andre Agassi. But on a muggy spring afternoon, the No. 1-ranked Williams looked sluggish at the outset and served poorly, and she was broken twice to fall behind 5-2.
"At that moment I felt like I had nothing to lose," Williams said. "I just was able to relax. Whenever I relax, I enjoy myself."
Li held a set point serving at 5-4, but Williams erased it with a backhand winner.
For more photo click read more
Sunday, 26 January 2014
STANISLAS WAWRINKA ATWAA KOMBE LA MASHINDANO YA WAZI YA TENISI YA AUSTRALIA 2014
Stanislas Wawrinka ametwaa kombe la mashindano wa wazi Australia 2014 baada ya kumshinda mchezaji namba moja wa tenisi duniani Fafael Nadal, jijini Melbourne,Australia.Katika mchezo huo Rafa kama anavyoitwa na wengi,alipata majeraha ya mgongo yaliyomfanya kucheza chini ya kiwango.
Wawrinka alimshinda Rafa kwa 6-3 6-2 3-6 6-3.
Thursday, 26 December 2013
WENGI WAJITOKEZA KUUGAGA MWILI WA ALIYEKUWA KOCHA WA MAKIPA SIMBA MAREHEMU JAMES KISAKA
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kocha wa makipa wa Simba, marehemu James Kisaka likiingizwa kwenye basi la klabu hiyo, baada ya kutolewa heshima za mwisho katika misa iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili, Dar es Salaam. Marehemu Kisaka atasafirishwa kwenda kwao wilayani Muheza, Tanga kwa mazishi yatakayofanyika kesho. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mjane wa marehemu James Kisaka, Teddy Kisaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe
Mjane wa marehemu James Kisaka, Teddy Kisaka akifarijiana na mtoto wa pili wa marehemu Kisaka, Boniface baada ya kutoa heshima za mwisho.
Mjane wa marehemu James Kisaka, Teddy Kisaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe
Monday, 2 December 2013
Toure ndiye bora zaidi Afrika
Yaya Toure ametangazwa mshindi wa tuzo ya BBC ya mwaka 2013 ya mchezaji bora zaidi wa soka barani Afrika.
Mchezaji huyo wa Ivory Coast, na ambaye pia ni kiungo wa klabu ya Manchester City ya Uingereza, na ambaye jina lake limekuwepo kwa miaka minne iliyopita katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo, aliwashinda Pierre-Emerick Aubameyang, Victor Moses, John Mikel Obi na Jonathan Pitroipa, katika kuibuka mshindi.
Saturday, 30 November 2013
BALOZI WA COCA COLA DAVID CORREY ATUA DAR NA KOMBE LA DUNIA, MAMIA WAFURIKA KULIONA
Balozi wa FIFA Coca-Cola David Correy kutoka Marekani aliyeimba wimbo rasmi wa Brazil World Cup 2014 akiongea na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo maelfu ya Watanzania wamepata fursa ya kushuhudia kombe halisi la FIFA la Dunia na kupiga nalo picha kwa karibu.
Wednesday, 20 November 2013
SWEDEN YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YANYUKWA 3-2 NA URENO USIKU HUU
Add caption |
Zlatan Ibrahimovic wa Sweden akiwa haamini kilichotokea.
Mchezaji Cristiano Ronaldo wa Ureno ndiye aliyezamisha meli ya Sweden usiku huu na hivyo kuzima ndoto za Sweden kucheza katika kombe la dunia Rio 2014
Tuesday, 29 October 2013
IBRAHIMOVIC BETTER THAN MESSI AND RONALDO, SAYS WENGER
Zlatan Ibrahimovic scored four goals against Anderlecht
The Sweden international struck four times in a 5-0 Champions League rout of Anderlecht last week and the Frenchman believes he currently has no equal
Arsenal boss Arsene Wenger says Zlatan Ibrahimovic is better than Lionel Messi and Cristiano Ronaldo at present, following his recent spate of match-winning displays.
The Sweden striker already has 11 goals for the season, including a four-goal haul in Paris Saint-Germain's 5-0 demolition of Anderlecht in the Champions League last week.
That display came on the back of the 32-year-old's outrageous strike in les Parisiens' 4-0 win over Bastia and Wenger says his recent efforts have propelled him ahead of Messi and Ronaldo at present.
Thursday, 10 October 2013
NMB YADHAMINI MASHINDANO YA NMB NYERERE MASTER GOLF -2013
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard makungwa akimkabidhi Nahodha wa Mchezo wa gofu Tanzania, Akhil Yusufali mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 17.3 za udhamini wa mashindano ya gofu ya kumbukumbu ya Nyerere ‘NMB Nyerere Masters Golf Tournament’ katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam Jana. Mashindano hayo yatakayoshirikisha wachezaji 100 kutoka mikoa mbalimbali nchini yatafanyika kesho na kesho kutwa kwenye viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Chama cha Gofu Tanzania (TGU), Joseph Tango,
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa akielezea udhamini wa Benki ya NMB kwenye mashindano hayo.
CHAZO: Kapingaz
Wednesday, 18 September 2013
MAN CITY ILIVYOTUMIA DAKIKA 10 TU KUITISHA MAN UNITED
KOCHA Manuel Pellegrini jana alikuwa mwenye furaha baada ya timu yake, Manchester City kuanza vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya wenyeji Viktoria Plzen katika kundi lao D lenye timu za Bayern Munich na CSKA Moscow.
Dakika 10 zilitosha kwa City kutengeneza ushindi mnono na sasa wanaelekea kwenye mchezo na mahasimu, Man United Jumapili wakiwa wenye kujiamini.
Edin Dzeko alifunga la kwanza dakika ya 48, Yaya Toure akafunga la pili dakika ya 53 na Sergio 'Kun' Aguero akakamilisha kazi dakika ya 58 kwa bao la tatu.
kikosi cha Man City kilikuwa: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Kolarov, Toure (Javi Garcia 80), Fernandinho, Jesus Navas/Milner dk67, Aguero, Nasri, Dzeko/Negredo dk83.
Plzen: Kozacik, Rajtoral, Hejda/Hubnik dk66, Prochazka, Limbersky, Horava, Horvath, Petrzela, Kolar/Duris dk61, Kovarik, Bakos/Tecl dk84.
Salamu United: Wachezaji wa Manchester City wakishangilia ushindi wao wa ugenini dhidi ya Viktoria Plzen
Mwanzo mzuri: Wachezaji wa Manchester City wakisherehekea kuanza vyema Ligi ya Mabingwa
La kwanza: Edin Dzeko aliifungia bao la kwanza Manchester City
Monday, 16 September 2013
YANGA WATOA KALI YA MWAKA
Tukio la kwanza la vurugu lilitokea Dar es Salaam baada ya kumalizika mechi ya Yanga dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Taifa.
Mbeya. Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamekata rufaa kwa kamati ya Ligi kutaka mchezo wao dhidi ya Mbeya City uliofanyika Jumamosi iliyopita urudiwe kwenye uwanja huru.
Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine ulimalizika kwa sare ya 1-1 na kufanikiwa kuingiza Sh100 milioni baada ya mashabiki 20,000 kushuhudia mechi hiyo.
Kabla ya mchezo huo kuanza kulitokea vurugu za mashabiki baada ya mashabiki wanaodhaniwa kuwa ni wa Mbeya City kulipiga mawe basi la Yanga wakati linaingia uwanjani pamoja na gari dogo aina ya Noah lililokuwa limebeba viongozi wa Yanga nalo lilipigwa mawe na kioo cha nyuma cha gari kuvunjika.
Saturday, 14 September 2013
OZIL, FELLAINI, ETO’O KIBARUANI

Mesut Ozil Samuel Eto’o
![]() |
Marouane Fellaini |
London, England.Vumbi la Ligi Kuu ya soka England litatimka tena leo huku macho na masikio ya mashabiki wengi yakiwa kwa nyota wapya waliosajiliwa siku ya mwisho ya usajili.
Arsenal ambayo imefanikiwa kuvunja rekodi ya uhamisho kwa kumnasa kiungo Mjerumani Mesut Ozil siku ya mwisho kwa gharama ya dola 67milioni akitokea Real Madrid na leo atawaongoza ugenini dhidi ya Sunderland.
Baada ya kuanza vibaya, Arsenal waliamka na kushinda mechi mbili mfululizo na kuwasili kwa Ozil kumeongeza nguvu zaidi kwa vijana hao wa Emirates.
Wednesday, 11 September 2013
MATUMLA: MKWANDA AMEIFEDHEHESHA FAMILIA
Bondia Rashid ‘Snake man’ Matumla
Mkwanda amewahi kugombea ubingwa wa dunia wa IBF kwa vijana mara mbili.
Dar es Salaam: Bondia Rashid ‘Snake man’ Matumla amedai endapo itathibitika mdogo wake, Mkwanda anajihusisha kusafirisha dawa za kulevya atakuwa ameipa fedheha familia yao.
“Mkwanda ameipa fedhea familia yetu, hii ni aibu kubwa ukizingatia vitendo hivyo vinakatazwa si Tanzania tu bali na kwenye nchi nyingine,” alisema Matumla jana katika mahojiano na gazeti hili.
|
Tuesday, 10 September 2013
RAFAEL NADAL AMSHINDA NOVAK DJOKOVIC KATIKA US OPEN 2013 (WANAUME)
Rafael Nadal ambaye ni mchezaji wa tenisi namba 2 duniani kwa upande wa wanaume,amemshinda mchezaji namba 1 wa tenisi Novak Djokovic katika fainali za mashindano ya wazi ya US maarufu kama ``US Open``. Nadal ameshinda kwa 6-2, 3-6, 6-4, 6-1 na kunyakua taji la 13.
SOURCE: TENNIS WORLD USA
Monday, 9 September 2013
FORMER PRESIDENT BILL CLINTON ATTENDS THE WOMEN'S FINALS MATCH AT THE U.S. OPEN IN NEW YORK
Former president Bill Clinton watches play during the women's singles final of the 2013 U.S. Open tennis tournament, Sunday, Sept. 8, 2013, in New York. (AP Photo/David Goldman) Photo by: David Goldman
Former President Bill Clinton watches the women's finals match at the U.S. Open Championship held at the USTA Billie Jean King National Tennis Center on September 8, 2013 in New York City. UPI /Monika Graff
SAN DIEGO, September 8, 2013 – Serena Williams won her first U.S. Open women’s singles tennis title at age 17 in 1999.
Thank goodness it never gets old. After a rough start feeling frustrated by the windy conditions at Arthur Ashe Stadium, Williams prevailed over a tough Victoria Azarenka.
"She didn't give up": President Clinton embraces Serena Williams after she won her 17th Grand Slam title at the 2013 US Open. Photo: Chris Trotman/Getty Images.
Victoria Azarenka and Serena Williams pose with Monica Seles before the women’s final. (Al Bello/Getty Images)
SERENA WILLIAMS AMSHINDA VICTORIA AZARENKA KATIKA US OPEN 2013
Kwa mara nyingine tena Serena Williams amedhihirisha kuwa yeye ni mchezaji bora wa kike wa tenisi duniani mara baada ya kumwadhibu Victoria Azarenka katika fainali za mashindano ya wazi ya tenisi yajulikanayo kama US Open.
Serena hakusita kuonyesha furaha yake pale alipomaliza mchezo. Hili ni kombe la Tano kwa US Open na ni grand slam ya 17.
CHANZO: Eurosport
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...

-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
No 10 : Oriens By Van Cleef & Arpels No 9 : Love Sweet Love By Philosophy Love Sweet Love by Philosophy is an ideal summer perfum...