
Showing posts with label VICHEKESHO. Show all posts
Showing posts with label VICHEKESHO. Show all posts
Thursday, 16 October 2014
Sunday, 7 September 2014
CHEKA UNENEPE
Baniani na Muislam walifungwa jela chumba kimoja. Baniani akaomba aruhusiwe kuingia na sanamu ya Mungu wake ili awe anafanya sala na maombi.
Muislam akasafisha tu kieneo cha kusalia mle ndani.Ikawa kila mtu kivyake, wakisali na kuomba watoke jela. Siku moja Muislam akaachiwa. Baniani akamuuliza:
Muislam akasafisha tu kieneo cha kusalia mle ndani.Ikawa kila mtu kivyake, wakisali na kuomba watoke jela. Siku moja Muislam akaachiwa. Baniani akamuuliza:
"Wewe nafanyaje mpaka iko toka, mimi naomba kila siku hapana toka?" Muislam akajibu:
"Tatizo wewe na Mungu wako nyote mko jela, atakaemtoa mwenzie nani?
JUMAPILI NJEMA KWENU WOTE!
JUMAPILI NJEMA KWENU WOTE!
Thursday, 20 February 2014
Wednesday, 5 February 2014
Sunday, 29 December 2013
Friday, 31 May 2013
Thursday, 23 May 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...

-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
No 10 : Oriens By Van Cleef & Arpels No 9 : Love Sweet Love By Philosophy Love Sweet Love by Philosophy is an ideal summer perfum...