Tetemeko la ardhi limeleta taharuki kwa wakazi wa mikoa ya Mwanza, Kagera na Mara.
Tetemeko hili kilitokea majira ya saa tisa alasiri.
CHANZO: ITV
Chini ni baadhi ya picha zikionyesha baadhi ya Madhara yaliyotokea

Mhe. Benjamin William Mkapa.
LEO Novemba 12, 2013 ni siku ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin William Mkapa aliyezaliwa Novemba 12, 1938 huko Ndanda, Masasi mkoani Mtwara na ametimiza umri wa miaka 75. Rainbow -tz blog inakutakia afya njema na maisha marefu!
|
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...