Showing posts with label MAPISHI(jikoni kwangu). Show all posts
Showing posts with label MAPISHI(jikoni kwangu). Show all posts

Wednesday, 30 November 2016

TAMBI ZA DENGU


a)unga wa dengu 1/2kg
b)unga wa mchele 1/4kg
c)baking powder 1tbsp
d)pilipili manga ya unga robotatu tbsp
e)uzile wa unga 1tbsp
f)chumvi kiasi
g)mafuta ya alizeti 1/2 lita
h)maji
1.kwenye bakuli kubwa changanya unga wa dengu,wa mchele,uzile,pilipili manga,chumvi na baking powder
2.weka maji taratibu huku unakanda hadi upate donge gumu kiasi
3.funika donge kwa dak30
4.weka mafuta kwenye karai bandika jikoni yapate moto
5.chukua mashine ya tambi weka donge kisha kandamiza taratibu huku ukiruhusu minyororo ya tambi kuingia kwenye mafuta,kaanga tambi hadi ziwe rangi nzuri.fanya ivo hadi umalize donge lote
CHANZO:Facebook -MAPISHI fasta

Monday, 21 March 2016

JIKONI KWANGU: SUPU YA KUKU NA MBOGAMBOGA (CHICKEN VEGETABLE SOUP)



















 MAHITAJI
250g Steki ya kidari cha kuku(chicken fillet)
1 Hoho ndogo ya kijani
1 Hoho ndogo nyekundu
2 viazi ukubwa wa kati
1 karoti kubwa
1 kitunguu maji ukubwa wa kati
3 decilita krimu ya maziwa/ maziwa
¼ kijiko cha chai pilipilimanga
1 leek
¾ kikombe njegere
1 cube chicken stock
2 Lita maji
1 kijiko cha chai
3 vijiko vya chakula Unga wa ngano/unga mlaini wa mahindi
Chumvi(kiasi unachopenda)



Tuesday, 9 February 2016

JIKONI: AINA TOFAUTI ZA SALADI ZENYE TANGO



Tango



Tango, lettuce, pilipili, nyanya, limao, hoho, parachichi, jibini(cheese), strawberries, fresh spinach

Friday, 5 February 2016

JIKONI: SANDWICH CAKE



MAHITAJI

3 mikate ambayo ipo sliced
     3 Kopo Samaki aina ya tuna
     1 leek
     10 ml sour cream
     1 kopo  mayonnaise
     15 mayai ya kuchemsha
     1 tango
     6 nyanya
     1buch lettuce
     400-500 g kamba
     Limao na  pilipili

Tuesday, 21 July 2015

ITALIAN WONDERPORT

vegetable bouillon
Stock ya mbogamboga
pasta vegetables

Weka 1/2 ya spinachi katika sufuria.Kata kata vitunguu vipande vyembamba vya mviringo pamoja na kitunguu thoumu.Weka nyanya ya kopo
herbs
Weka viungo hivi unavyona hapo juu,1/2 kijiko cha chai  basilika na 1/2 kijiko oregano, 1/4 kijiko cha chai pilipili mtama
Italian Wonderpot - Budget Bytes
Katika sufuria, mchanganyiko wako utaonekana hivi.Anza kupika ukiwa umefunika

boiling
Ikianza kuchemka ,ondoa mfuniko,Wacha ichemke kwa dakika 10-15 ,au mpaka maji yakauke.Koroga kila baada ya muda kuzuia pasta zisigande
cooked wonder pot
Mwonekano wa pasta zilizo tayari kuliwa
 Credit toBudgetbytes

Friday, 27 March 2015

JIKONI KWANGU: MCHEMSHO WA SAMAKI NA VIAZI MVIRINGO

Ninaendelea kushirikiana na nyie mapishi yangu mwenyewe
jikoni kwangu. Nitakuwa ninafanya hivi kila nitakapopata nafasi.


MAHITAJI
1 Samaki ( Sato,changu n.k)
½ kg viazi mviringo
1 pilipili hoho ya kijani
1 karoti kubwa
1 kitunguu maji cha ukubwa wa kati

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...