| Birthday girl tayari kwa kwenda kusherekea siku yake na watoto yatima |
| Keki zilikuwepo za kumwaga |
| Kajala akiwa na watoto TMT wakimuimbia wimbo wa Happy Birthday |
| Birthday girl akikakta keki |
![]() |
| Mtangazaji wa kipindi cha Take One kinacho rushwa na Clouds TV akiwa katika pose na Kajala na ninamini very soon tutaona tukio zima kweney luniga zetu |
![]() |
| Baadhi ya marafiki wa Kajala waliomsindikiza katika tukio hilo kutoka kushoto ni Bilal Seduction, Radhya, Kajala, Zamaradi na Junaitha |
![]() |
![]() |
| BFF Kajala & Wema |
![]() |
| Hii keki imetoka Segrea kwa waliokuwa wafungwa wenzake Kajala. |
![]() |










No comments:
Post a Comment