Chissano John Nindi Leo tarehe 28 augusti ni mwaka mmoja (1) kamili toka ulipotutoka bila neno la kwaheri.Chissano,uchesi uliokuwa nao unadhihirishwa na hii picha yako.Ulikuwa ni mpenzi wa kila mtu kwani ulithamini utu wa mtu. Ni vigumu kuamini kuwa ni kweli haupo nasi. Kazi ya Mungu haina makosa. Tukijiuliza sana kwanini alikuchukua wakati tulikuwa tunakuhitaji sana tutakuwa tunakufuru. Tunajaribu kujifariji kwa kuamini kuwa alikuchukua kwavile alikupenda zaidi yetu. Tunajitahidi kujiridhisha kuwa huko ulipo unapata pumziko la amani. Japo haupo nasi kimwili tupo nawe kiroho siku zote. Unakumbukwa na ndugu zako wote,jamaa na marafiki zako. Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe,amen. PUMZIKA KWA AMANI CHISSANO NA TUTAKUKUMBUKA DAIMA. |
Wednesday, 28 August 2013
KUMBUKUMBU YA CHISSANO JOHN NINDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
The cash money brother -Japher Kiongoli wedding was in Sydney, Australia. The CEO alias Mpiganaji Davis Mosha, Nancy, kids, mother ...
No comments:
Post a Comment