Saturday, 21 September 2013
MWANAMUZIKI WA WEEKEND: KENNETH "BABYFACE" EDMONDS
Wikiendi hii tunae mshindi aliyenyakuwa tuzo 10 za Grammy kutoka Marekani, huyu ni Kenneth Brian "Babyface" Edmonds. Kenneth Edmonds maarufu kama" Baby face" ni mwanamuziki wa R & B, Prodyuza wa muziki na mwandishi wa muziki. Baby Face alizaliwa Indianapolis, Indiana, na wazazi Marvin na Barbara Edmonds.Ni mtoto wa 5 kati ya watoto wa kiume 6.
Baby face aa watoto watatu,Brandon na Dylan kutoka kwa mkewe wa kwanza na Peyton kutoka kwa mke wake wa sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
No 10 : Oriens By Van Cleef & Arpels No 9 : Love Sweet Love By Philosophy Love Sweet Love by Philosophy is an ideal summer perfum...
No comments:
Post a Comment